Tamasha la Kili Music Tour limekamilisha
awamu ya kuzunguka mikoani kwa show iliyofana katika uwanja wa Mkwakwani
Tanga. Tamasha hilo linalidhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager
lilipambwa na burudani toka kwa wasanii wanaofanya vizuri nchini
wakiongozwa na malkia wa mipasho Khadija Kopa na mfalme wa taarab Mzee
Yusuph ambao waliongoza kundi la wasanii kumi kutoa burudani kwa wakazi
wa Tanga.
Tamasha hili sasa linarejea jijini Dar es Salaam ambapo Jumamosi
Septemba 6 litahitimishwa katika viwanja vya Leaders Club.Tamasha la
Kili Music Tour limekamilisha awamu ya kuzunguka mikoani kwa show
iliyofana katika uwanja wa Mkwakwani Tanga. Tamasha hilo linalidhaminiwa
na bia ya Kilimanjaro Premium Lager lilipambwa na burudani toka kwa
wasanii wanaofanya vizuri nchini wakiongozwa na malkia wa mipasho
Khadija Kopa na mfalme wa taarab Mzee Yusuph ambao waliongoza kundi la
wasanii kumi kutoa burudani kwa wakazi wa Tanga.
Tamasha hili sasa linarejea jijini Dar es Salaam ambapo Jumamosi Septemba 6 litahitimishwa katika viwanja vya Leaders Club.
0 comments:
Post a Comment