Monday, September 1, 2014



Le Big Show leo took Warembo wa Miss Redds Ilala 2014 kumtembelea Meya wa Ilala ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mh. Jerry Silaa niliwapeleka kutafiuta baraka za shindano na he was kind enough na kuwanunulia warembo meza mbili za thamani ya Shillingi Millioni moja na kuahidi kuhudhuria shindano hilo Jumamosi hii at Kempisk Hotel.







0 comments:

Post a Comment