![]() |
| mwemyewe huyoo TP la UK |
d![]() |
| Diamond anajutaaaa kumfahamu |
Baada ya kufanya na kuwatapeli wasanii wengi wa hapa bongo na wakaamua kupiga kimya, this time kachezea pabaya DjRule kwajina lengine Victor ameingia choo cha kike baada ya kumkuta mtoto wa tandale akiwa na hasira na hela yake.....
kwa
kawaida huwa anawafanya wenzie maboya wa kuwapandisha juukwani halafu
hela watalipana baada ya show, nani kasema hiyo kwa Dimondo, ni pale
alipotaka apewe chake kabla ya show, na DjRule akiwa ana gwayagwaya,
watu wengi sana wakazi wa UK wamemlalamikia Dj huyo kwamba ndio zake na
aliwafanyia wasanii wengine kama AY,FA,MR Blue na kuna wakati
alimfanaya TID kitu kibaya na TID alikaa Uk kwa miezi akisubiri mshiko
wake.
inaonekana wasanii hawa walimchukulia poa lakini ilipokuja kwa mtoto wa kimanyema akashuka naye Insta....
sasa kwa wasanii wengine ndio mumjue huyo DjRule siku nyingine akikuita ktk show make sure hela yako kakumaliza lasivyo utamenya viazi UK mpaka ukome sio msema ukweli na muaminifu .
inaonekana wasanii hawa walimchukulia poa lakini ilipokuja kwa mtoto wa kimanyema akashuka naye Insta....
sasa kwa wasanii wengine ndio mumjue huyo DjRule siku nyingine akikuita ktk show make sure hela yako kakumaliza lasivyo utamenya viazi UK mpaka ukome sio msema ukweli na muaminifu .

AnonymousSeptember 23, 2014 at 7:05 AMHaha sinta watamenya viazi na kufagia barabara wkt huyo dj anatanua.hiyo ni dhulma mtu jasho lake unamdhulumu anaimba anakatika viuno weee kisha unampa kiswahili sio,achukuliwe hatuaReply
AnonymousSeptember 23, 2014 at 9:06 AMKumbe ndio hilo fala? Pumbavu zake! Hivi jasho la mwenzio kwanini unachezea ka mpira? Mshenzi sana huyu kaka! Safi wacha akamatwe na aaibike! Kishaliza wengi! Good on You DIAMOND kwa msimamo wako! I hope na wengine sasa watafuata huu msimamo! Duh hakuna kitu kinauma kama jasho lako alafu mtu anakuzingua! Inaumaga sana! Sio vizuri kuombea mtu mabaya, lakini huyu kaka kwa kurusha wenzie wacha na yeye sasa awe black-listed as the Con n Fraudstar that he is! Akome!Reply
AnonymousSeptember 23, 2014 at 4:44 PMtatizo huyu dimondo naye amezidi kupaparikia ulaya....akisikia ulaya tu anakurupuka anaona kawapiga bongo flava wenzie bao. afanye show kuwafurahisha fans wake siyo tu kuongeza kwa CV ooh mie nilienda ulaya mara 100Reply
AnonymousSeptember 23, 2014 at 6:34 PMlaana za wema zimeshaanza kumfikia huyu kunguru wa tandale...naskia vikao vya harusi na menina vinaendelezwa na mama yake na ndugize kwao sinza shenzi typeReply
AnonymousSeptember 24, 2014 at 3:10 AMUdaku Special, hope u r good, mie kuna jambo kidogo linanisikitisha, nimekuwa nalisoma sana kwenye mitandao, either sijalielewa kwa kina au nimeliangalia kwa engle tofauti. Ni kuhusu Diamond na Wema, na hii so called team wema. Nimeona Diamond amekuwa akiwa blamed sana kwa actions za wema, kama hii juzi ya kwamba Diamond amemwaibisha wema kwa kumchezesha stageni, sasa najiuliza kwani alichukua gun akamuwekea wema kichwani kwamba lazima acheze? Au ulikuwa uamuzi wa Wema kwa mtazamo wake alikuwa ana msupport Diamond? Anyway, mie naona hawa wanaojiita team wema wanaelekea pabaya, wanavuka mipaka, its okay kuwa fan wa mtu,by supporting them, through what they do, nunua movie zake, sponsor kipindi chake, lakini kuanza kutukanana kwenye mitandao kisa eti wewe ni fan wa mtu, mbali Zaidi kuna mahali nilisoma watu wanatumia slogans like “bring back our wema” slogan ambayo ilitumiwa kwa ajili ya watoto wa kike wadogo waliotekwa na boko haram, watoto ambao wako hatarini kupoteza maisha yao, hatujui wanaenda through nini, leo hii inatumiwa kwa mdada over 18,ambae hana shida yoyote, eti kisa kacheza stagini kwa uamuzi wake mwenyewe?? Diamond wa watu has come so far kufika hapo alipo, ni Mungu na jitihada zake ndo zimemfikisha hapo alipo, hakuna team nini wala nini ndo imemfikisha hapo alipo, eti tunakupenda kwasababu ya Wema, no ni nyie u team wema ndo mnafikiri hivyo,Tanzania tu peke yake ina watu Zaidi ya million 49,na hao team wema wako wangapi? Diamond ni international sasa hivi, sasa sielewi mnavyoambiana kuwa mkimchunia Diamond sijui nini kiktatokea??? Eti Wema is my everything, hahahaha, Sio Mungu wako, sio mama yako, sio baba yako, but wema, jamani kufuru zingine, yaani huu ushabiki wa Wema umekuwa kama kama Cult, mie naomba tu watu wajiulize is it necessary kufanya haya yote?mna benefit nini, hii kitu inawafanya mjione kuwa mna belong somewhere? Theres a lot mnaweza kufanya, au kutumia insta page zetu kujengana, kuna charity work, kuna watoto wa mitaani wanahitaji sana watu wa kuwasidia, kuna wa mama wako mahospitalini, hawana kitu, kama mko educated kajitoleeni ku educate watoto wa mitaani, at least mtapata thawabu kwa Mungu, huu ushabiki wa mpk kukufuru, hauna umuhimu kabisa, tumieni muda wenu kuwa more creative, Tanznaia ni nchi inayokuwa,bado kuna mengi Sanaa ya kufanya, kuliko kuwa kwenye team zisizo za msingi, kuweni at least na team za kupinga bunge la katiba. Sikatai msiwe fan wa wema, lakini huku mliko kwa mtazamo wangu,mnaelekea pabaya, na kuna chance hii hii team wema ndo ikamwamribia wema kabisa, sielewi kwanini wanadamu to some extent lazama tutafute kitu cha kuabudu, magazeti ya udaku yanapata hela, nyie team wema, what are getting? Umaarufu? Mwenzenu ana million kadhaa bank, nyie??? Mwisho ningependa kumwambia Diamond kama utasoma hii, usivunjike moyo kwa maneno ya watu wachache,u ve come so far, to let anyone bring u down, Ni Mungu pekee ndo muamuzi,ulikotokea na ulipo ni mfano wa kuigwa na vijana wadogo kama wewe, you are still young, usifanye mambo kwa pressure ya watu, kama unampenda wema, ni wewe, kama unataka kuoa ni wewe tu. Watu waliostruggle kwenye maisha watakuelewa sana, lakini kama mtu haja struggle they wont get it, big up sana Diamond, Mungu akuongezee busara. Haya team wema tukaneni sasa coz that what you do best, wengine maisha yanwapiga chenga vbaya, but wema is your everything, haya mumuombe wema awabariki,mpate mtakacho,watch what say, ulimi unaumba.Reply
AnonymousSeptember 24, 2014 at 4:46 AManapenda kupanda ndege huyo na kupewa mabibi wa bure huko mana watoto wanajigonga kituReply
AnonymousSeptember 24, 2014 at 4:52 AMmla vya wenzie na yeye vyake vitaliwa umekula pesa yetu bila show haya kiko wapi na wewe umekutana na wajanja wenzako unataka pesa kabla hujapanda jukwaani na sisi unaotujia majogoo asubuhi pesa unaturudishia nusu au ndio vipi? big up DJ mkomeshe huyo kijana anajifanya ana uchungu wa pesa bila kujali washabiki wakeReply



OUT OF TOPIC,hiv jaman kajala kakosa wanaume mpaka atembee na kale katoto ka mawingu redio??mbona yule mtoto mdogo saana jaman?duniaa hadaaa kwa kweli khaaaa kale ka perfect kadogo saaana,alafu mi nashangaa watoto wa siku wakifika mjin wanajisahau na kujifanya wakubwa,we perfect muheshimu kajala ni sawa na mama ako hata kama dushelele halina mabawa useme litagoma bt jiheshimu mxiiiiiiiew!!nachefukwa na vijana wa siku hizi balaaa