Friday, September 12, 2014

STAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' amemfagilia mama yake mzazi Lucresia Karugila kwa kupitia akaunti yake ya Instagram.


 
Lulu akiwa katika pozi na mama yake.
Staa huyo ameachia picha yake wakati akiwa mdogo pamoja na mama yake kisha kuandika ujumbe wa kumfagilia mama huyo ambao ulisomeka hivi: 
Ni miaka 19 sasa tangu tulipoanza rasmi mahusiano haya, ni mahusiano ambayo yamekuwa na changamoto nyingi zaidi kwako kuliko kwangu. Ni mahusiano yanayomiliki mapenzi ya kweli na mapenzi yasiyo na usaliti. 

0 comments:

Post a Comment