Tuesday, September 30, 2014


Wanaume 'tata' wakilishana keki katika sherehe ya bethidei.Pati hiyo ya kufuru ambayo ilikuwa ni ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya kijana wa mjini aliyetajwa kwa jina moja la Abdul iliyoandaliwa na Anti Lulu ilifanyika katika Hoteli ya KB iliyopo Kijitonyama, Dar, wikiendi iliyopita ambapo ilihudhuriwa na watu mbalimbali lakini asilimia kubwa ya waalikwa walikuwa ni ‘wanaume tata’.
Makubwa! Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ ameangusha bonge la pati huku ikihudhuriwa na mashoga kibao.
Aunty Lulu akikata mauno kwa raha zake.Ijumaa Wikienda lilifanikiwa kuzama ndani ‘kimafia’ ambapo lilimshuhudia Anti Lulu akikata mauno ya kufa mtu baada ya kusikia kibao kata kilichokuwepo hotelini hapo.PICHA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment