Tuesday, September 30, 2014


Mh. Sugu, Faiza Ally na mtoto wao Sasha.
 
Muigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ! well....kupitia Instagram Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema. Faiza aliandika........

0 comments:

Post a Comment