Thursday, September 18, 2014


Diamond platnumz katika ururasa wake wa facebook amepost post ambayo ina mashiko sana kwa madada wa kibongo wanaojiona wao wako juu sana wanaona wakiza watapoteza mvuto kwa watu diamond akaamua kufunguka kiivi.
Kwa mtazamo wangu mimi naona kuzaa hakumfanyi mtu azeeke au awe wa kizamani, ni tabia tu ya mtu mwenyewe.... na ndiomaana dada zetu kama Beyonce, Nancy sumary, Kim Kardashian na kadharika wana watoto na still wanafanya vizuri.....Au we mtazamo wako ukoje?SOMA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment