Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja.
MWIGIZAJI kiwango enzi hizo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa wa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema
fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na wanaume wapate ‘soko’ kiulaini.
Aliongeza kuwa, watu hao kupitia vitendo hivyo wamekuwa wakiichafua tasnia kiasi cha wote kuonekana hawafai (samaki mmoja akioza, ni wote). SOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment