| Mbunge wa Kalenga Godfrey Mgimwa akiongoza viongozi kutembelea ujenzi wa zahanati kijiji cha Mangalali |
| Diwani wa kata ya Ulanda kulia akitoa ufafanuzi kwa mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Mgimwa kuhusu maendeleo ya ujenzi wa zahanati kijiji cha Mangalali |
| Katibu wa mbunge Mgimwa kulia Bw Martine Simangwa kulia akiteta jambo na mbunge Mgimwa |
| Mwananchi wa kijiji cha Mangalali akisalimia na mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa |
| Mbunge Mgimwa akidua sanjari na wananchi wa kijiji cha Mangalali |
| Mmoja kati ya wananchi wa kijiji cha Mangalali akimpongeza mbunge Godfrey Mgimwa kwa utendaji kazi mzuri |
| Katibu wa Mgimwa akiwaonya wana CCM wanaojipitisha jimboni kwa sasa |
| Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Mangalali wakiwa katika mkutano wa mbunge wao Bw Mgimwa |
0 comments:
Post a Comment