Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 10, 2014
Ni kweli kwamba mwimbaji Shakira anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili? jibu ni ndio… na hii imethibitishwa na mama yake mzazi.Gazeti la Hola la Hispania limeripoti kwamba mama mzazi wa mwimbaji huyu ndio kaongea na kusema mjukuu wake ajae ni mtoto mwingine wa kiume.
Shakira ana umri wa miaka 37 sasa hivi na siku yake ya kuzaliwa ni February 2… ni mke wa mchezaji staa wa soka Gerard Piqué ambapo huyu atakua mtoto wao wa pili baada ya yule wa kwanza wa kiume pia.ENDELEA >>
0 comments:
Post a Comment