Tuesday, September 30, 2014


"Kuna mtu amejua kuniharibia mudi yangu sana huku Instagram najuta kuingia lol... Sasa wewe na wengine ngoja niwatoe mawazo leo manina zenu nyie ... mimi sijaachana na baba sasha nimemuacha Mbeya kwa sababu ya matatizo ya kifamilia na tulishindwa kuyatutua ! Kama unazani labda ni vichupi vyangu unakosea sana ... Baba Sasha anapenda mavazi yangu sio mavazi tu mpaka tatoo zangu na life style yangu tumeshindwa kwa yetu ambayo hayahusiani na life style ninayo ishi sawa sawa ??? Anajua picha zangu na maisha yangu yote tena zaidi na hayo unaya yaona kwenye mitandao ! sawa mbali na ubunge yeye ni msanii ambae amepitia maisha Mengi na anajua Mengi ambayo hawezi kushangaa lolote ... Na bahati nzuri ni mjanja Sasa wewe na ujinga wako unae zani mavazi ndio kila kitu kaa na upumbavu wako hayani wewe!!!!! Na Kama unazani nguo ndefu na mabaibui ndio heshima una kosea sana .... Kwa taarifa yako mimi ni bora sana na siihitaji wewe wala mwingine ajue nikijua mm na watu wanao nizunguka inatosha sawa sawa nawajua wengi wasio vaa bikini wala nguo fupi na ni wabaya na malaya , wahuni walio pitiliza Pumbavu wewe ! Mimi napenda kuvaa uchi na siachi mpaka ntakapo amaua sawa sawa ? Tena wote mnao chukui mavazi mnikome na Kama hupendi ninacho andika na picha ninazo posti ni block mjinga 1 wewe.."

0 comments:

Post a Comment