Wednesday, September 10, 2014
NHIF YAKAMATA WATU WANAOTUMIA KADI ZA BIMA YA AFYA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA HOSPITALI YA REGENCY
Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 10, 2014
Bw. Julius Mziray mkaguzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es salaam. Baada ya kumkamata mtu mmoja anayetuhumiwa kutumia kadi ya bima ya afya yenye namba 02-HCTP1801
ambayo inamilikiwa na Bw. Terry J. Maona
kinyume na utaratibu , Mtu huyo alikamatwa jana katika hospitali hiyo wakati akitaka kufanya vipimo vya (
CityScan
), ndipo mmoja wa wafanyakazi wa hospitali hiyo alipogundua na kupiga simu makao makuu ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuwataarifu kuhusiana na tukio hilo, ambapo maofisa walifika na kukamata nyaraka hizo huku mgonjwa akitokomea kusikojulikana baada ya kugundulika,
Bw. Julius Mziray a
mewaasa wamiliki wa kadi za Bima ya Afya kutozitumia watu tofauti badala yake zitumie kwa wahusika walioorodheshwa katika bima hiyo tu Jambo ambalo kuwaigiza katika mikono ya sheria na kupata adhabu kali.
Bw. Julius Mziray mkaguzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF aki
wasomea waandishi wa habari maelezo yaliomo katika nyaraka hizo
Baadhi ya wgonjwa mbalimbali wakisubiri huduma katika hospitali hiyo
Baadhi ya wgonjwa mbalimbali wakipata huduma katika hospitali hiyo
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment