
Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’
Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekanusha tuhuma ya kumficha mwandani wake na kufunguka kuwa, marafiki na familia yake wanamjua hivyo haoni sababu ya kumfanya kila mtu amjue.Odama alikuwa akizungumzia madai ya kumficha mwanaume aliyezaa naye hukubaadhi wakisema, hataki mtu yeyote amjue kwani ni mume wa mtu. SOMA ZAIDI>>
0 comments:
Post a Comment