Friday, September 19, 2014

Tanzania Football Federation
Affiliated to FIFA, CAF and CECAFA
E-mail: tanfootball@tff.or.tz     .    Website: www.tff.or.tz
Yanga wanatakiwa kuwasilisha rasimu hiyo kabla ya Oktoba 5 mwaka huu. Ikiwa itakubaliwa na TFF, itapelekwa kwa Msajili wa Klabu na Vyama vya Michezo ili waweze kufanya uchaguzi wa viongozi wao.
Pia wadau wa mpira wa miguu ambao sio wanafamilia wa TFF, watakaoitwa na jopo hili wanaombwa watoe ushirikiano kwa nia ya kujenga mpira wetu.
Kwa kuwa kutakuwa na uchaguzi wa kujaza nafasi zilizo wazi uchaguzi huo utasimamiwa na kamati ya uchaguzi ya Coastal Union kwa kushirikiana na kamati ya uchaguzi ya TFF na kabla ya uchaguzi TFF na TRFA na coastal Union watafanya uhakiki wa reja ya wanachama.
             kwa taarifa hii, mnatakiwa kuipeleka Katiba kwa msajili  na kupanga tarehe ya uchaguzi. Nategemea ushirikiano  wenu.Wako katika maendeleo ya                                                                                                                               michezo, 

0 comments:

Post a Comment