Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka kwenye stageni na moja ya nyimbo zao.
Joniko Flower naye katika muziki wa live hashikiki kwa sauti,viuno mpaka pumzi ni hatareeeee.
KUNAKO Nigeria Flavour….. Sam Mapenzi akitoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake waliokuwa wakimpa support ya nguvu kwenye ngoma za Nigeria ambao ni Joniko Flower (wa kwanza kushoto), Ashura Kitenge(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sony Masamba.
Watu navipaji vyao sasa team sky light band ikiongozwa na Ashura Kitenge katika miondoko ya zouk huku akisindikizwa na waimbaji wenzake katikaka,Sony Masamba pamoja na AK 47 meneja wa sky light band.
...sakata lumba na sky light band hapana chezea hatareee ukigusa lazima unas.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba mmoja ya nyimbo yenye hisia kali sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi.
Sugua sugua mpaka utakate ni nomaaaama saaanaa karibu leo kuna mambo mazuri ndani ya Skylight Band.
Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Lukas pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii.
Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia kubwa mbele ya mashabiki wake huku akiwa na wasanii wenzake upande wa kushoto ni Sony Masamba na upande wa kulia ni sam mapenzikatika kiota cha Lukas, Masaki jijini Dar.
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari na kucheza huku waimbaji wenzake Sony Masamba (wa pili kutoka kushoto), Aneth Kushaba(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sam Mapenzi wakisebenekaIjumaa iliyopita ndani ya kiota cha Lukas Pub jijini Dar.
0 comments:
Post a Comment