Mrembo
mchakarikaji Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. Akizungumza na Ijumaa
Jokate alisema, watu wanaongea sana kuhusiana na ukaribu wao bila kujua
kuwa Kiba ni mtu wake kitambo na sasa ndiye kila kitu kwake kwani ana
projekti naye kibao ambazo zinakuja na wasioelewa, ipo siku wataelewa.
MREMBO mchakarikaji Bongo, Jokate
Mwegelo ‘Kidoti’, juzikati aliamua kuvunja ukimya na kusema kuwa
mwanamuziki Ali Kiba kwa sasa ndiye kila kitu katika mambo yake mengi ya
kimaisha.
0 comments:
Post a Comment