Davido ambae ameshirikishwa na Diamond kwenye remix ya ''Number One'' iliyofanya vizuri barani africa ataingia usiku wa leo october 16 huku wasanii kama Waje,Victoria Kimani pamoja na Meneja wa Msanii T.I na watu wake wameingia usiku wa jana.
Akizungumza na mmoja ya wanakamati wa Serengeti Fiesta,Fauzia amedai kuwa licha ya wasanii hao aliowataja, huenda list ya wasanii wa Afrika ikaongezeka.
0 comments:
Post a Comment