Diamond Platnumz amemtaja Vanessa Mdee kama muimbaji anayemkubali zaidi na ambaye anaona atafika mbali zaidi.Akiongea , Diamond amesema hata jukwaani, Vanessa ni msanii anayejituma sana.
“Unajua wasanii wa kike wote wa hapa nyumbani ninawakubali ila namkubali sana Vanessa.
0 comments:
Post a Comment