Na Mwandishi Wetu
Nabii wa Kanisa la Holly Ghost Fire lililopo Mbezi Juu – Kwa Temba ameendelea kuwa gumzo jijini Dar kwa miujizo anayoitenda kwa kuwaombea wagonjwa ambao wanapona Live bila King’amuzi.

Vyombo mbalimbali vya habari ukiwemo mtandao huu vilishuhudia maajabu ya nabii huyo anaejulikana kwa jina Jeremiah Lukiko “ Mzee wa Fire” vilishuhudia muujiza miujiza mbalimbali ya kuwaponya watu wenye ukoma pamoja magonjwa sugu yote.
Kanisa hilo ambalo licha ya kuwa change lakini maelfu yaw a waumini wamekuwa wakimiminika kwa ajili ya kupata huduma bora ya maombi yaliyojaa upako wa ajabu toka kwa mtumishi huyo wa Mungu natayari watu wengi wameanza kuhama makanisa mengi na kukimbia kwake kwa ajili ya kuponywa magonjwa yao.BOFYA KWA PICHA ZAIDI>>>


0 comments:
Post a Comment