Tuesday, October 14, 2014

Habari mpya zinasema kuwa bado moyo wa Diamond Platnumz umemzimikia msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye figa matata Meninah licha ya wawili hao kukanusha mara kadhaa.Inadaiwa kuwa Diamond kupitia watu wake wa karibu na wasiri wake anafanya juu chini kumpangishia Meninah nyumba ya kifahari aidha maeneo ya Mikocheni au Mbezi beach jijini Dar es salaam ili Meninah ajue ni kaisi gani moyo wake hauna hali juu yake na pia kumnunulia gari la kutembelea ili asijisikie vibaya baada ya kumnunulia Wema !
Habari zaidi zinadai kuwa Diamond ambaye umaarufu wake mwaka huu umevuka mipaka ya nchini nyingi bado anaona Meninah anafaa kuwa mke wake kuliko Wema Sepetu, Na kwa mujibu wa vyanzo inadaiwa hata gari INAENDELEA HAPA>>>

0 comments:

Post a Comment