Friday, October 10, 2014

Uwoya amesema alisafiri hadi Afrika Kusini ili kutafuta location tofauti zitakazoifanya filamu hiyo kuvutia.
“Filamu ya Kigoda ni filamu ya aina yake katika filamu ambazo nimewahi kuzifanya,” alisema. “Filamu inahusu drama and music, imeshagharimu pesa nyingi sana. Ndani utaona watu wakicheza muziki na maisha ya wasanii.
Kwahiyo itakuwa tayari hivi karibuni na tutatangaza ikiwa tayar kwenda sokon.” 
Katika hatua nyingine, Uwoya amekanusha uvumi kuwa ana uhusiano na msanii wa Soundtrack, Msami ambaye anadai ameshiriki kwenye filamu hiyo.

0 comments:

Post a Comment