Wednesday, October 22, 2014



  1. Yani anavyoling'ang'ania hilo taji utadhani ni makalio likichuliwa atabaki mifupa mitupu? Yani mtu unaongea uongo hadi unajustukia? Halafu yule rafiki yake chaga anavyoshangilia utadhani ye ndo miss no. 2!! Yani hii haijakaa sawa kabisa. .nimeiangalia ile video ya anavyohojiwa nipo nyumbani lakin nikawa naona aibu kama niko pale ..miss ana maringo. .ana jeuri na short answers kuliko hata mpoki! !? Lundenga mwenyewe anaongea huku unamuona kabisa hajielewi. .sijui ndo laana ya kumpiga mkewe? Yani jana wameniharibia siku. .jana ndo anaonekana kweli kama ni mkubwa misuli ya shingo imemtoka utadhani kitu gani. .yani kwakweli am speechless. .
    Reply
  2. Huyu miss ni muongo sana hata ujibuji wake unaonesha kama anasema uongo
    Halafu nyie mnaomsema sara mumuache mtoto wa watu mnaomna wivu kwasababu nyie hampendwi na waume zenu kama anavyopendwa yeye she is good girl na ametulia na familia yake na mumewe handsome kutwa mwamtaka lakin mnaona hawataki ndio maana katulia na mkewe i love this couple wanapendezana sana
    Reply
  3. Mfyuuuuuu. . . Bora wasingefanya kabisaaa hyo press conference. Yani ndo wamejiaibisha sanaaa. Uongo wa mchana kweupe. Wangejikausha tuu kama kawaida ya Tz,mambo yangepita.
    Reply
  4. hhehehehehe.SHESHE hili.Jamani kama vilivyopatikana pasi ya kusafiria na leseni ya udereva tunaomba wale wambea wetu wakatafute hiko cheti kilichopotea popote duniani.Hata huko chuoni aliposoma lazima aliacha nakala.Wafuatiliaji wapo.Mi ntakua nasubiria habari.Nawakubali najua mtafanya kazi
    Hii skendo ya miss Tanzania mwaka huu haijapata tokea.Aise ni SHEEEDAH(in TI s Voice)hahahahhaha
    Reply
  5. Mashavu yenyewe yanachuma kunde, bibi bomba
    Reply
  6. OUT OF TOPIC: mwenye faili la Ayubu Kambinda naomba jamani najua hajaoa so msinitukane,alikuaga Pilot Precision
    Reply
  7. NAANDIKA COMMENT HII KWA MASKITIKITIKO MAKUBWA SITII MTEMVU JANA UMEONGEA MBELE YA WATANZANIA KWAMBA UNA MIAKA 23 NCHI NZIMA NA MAJIRANI WAMEONA KILA LA KHERI IPO SIKU UTAKUMBUKA NA UTAJIFUNZA KUSEMA UKWELI WATU WAMEANNDIKA WANATUMA VIELELEZO VYAKO MISS DUNIA NI AIBU GANI UTAKAYOIPATA UFIKE USIPANDE LILE JUKWAA? UTALIA KILIO CHA MBWA MIDOMO JUU. SISI TUPO TUNASIKILIZA.
    OUT OF TOPIC .. Jana nimeota namegana na kigogo mjengoni kwake bdae tumemaliza mke wake kaja aakniambia nimslaimie afu niondke weee nilichezeshewaje kichapo ila nimeota nw naanza mikakati ya kumsaka nafanya kweli aiwezekani kwenye huyo mwanamke kanitesa kiasi iko ntafanya ntarudi kwenu kuwajuza kilivhojiri.
    Reply
  8. Wala haishtui,tulijua itakuwa hivyo.
    Ila malipo ni hapahapa duniani kwa Mungu ni hesabu tu.
    Reply
  9. Jamani huyu binti anatia huruma kweli,anaulizwa khs passport na DL yake ya texas eti anajibu ni personal life hawez jibu,kama alireport police kupotelewa na cheti eti hakujiandaa na hilo swali,maskini anatia huruma bibie.
    Reply
  10. sitti mtemvu libayaaaaaa hata ajitetee vipi ni libaya sura yake ya kizee hata miss world asiende kabisa manake hata mia bora haingiii. Lundenga akubali tu kwamba miss Tanzania wa mwaka huu siti mtemvu hajakubalika na watu wengi. akafie mbereeeeee
    Reply
  11. Yn huyu ndo hajielew kbsa,,ivi zile dharau ndo tabia za kimarekani au?Baba ake ale pesa zetu za kodi lenyew kulia bata bado mama mzima huyo kung'ang'ania crwn,,sura imemkomaa,,,aende huko n asiombe aadress jamii tutaenda ili kumzomea
    Reply
  12. Sitti sijui utaendaje kushiriki miss world mamaa, tarayari una passport ya Tanzania ya umri wa miaka 25 sijui 26, na tayari ulishachukukuliwa finger print, hizi detail zote zinabaki kwenye system. siku unakanyaga tu mataifa ya wenzetu na kuchukuliwa finger tena raima itamatch na detail zako za nyuma, jina ni lile lile sura ni ile ile, finger ni zile zile, sijui sasa hapo wewe mwenyewe itakuwaje, na je sijui umeshaenda omba Pass mpya? kwa hii mijadala sijui kama immigration watakupatioa kweli maana na wao lazima watie mashaka juu ya hii issue na mjadala uliopo sasa, bi dada naomba tu kama utaweza anza sasa kutafuta kisingizio tu cha kuto enda kushiriki hiyo miss world, kwanza huna confides kabisa katika kujieleza, pili tayari utakuwa na wasi wasi juu ya macho ya watanzania, tatu hautakuwa huru kushiriki kazi za kimisi.
    Reply
  13. Sinta tuwekee video yake. Yani ana jeuriiii. Kajibu kijeuri vibaya mnooooo. Yani kjibu kwa dharau vibaya munoooo
    Reply
  14. Uyu Miss Tanzania Ana sura imemkomaa kama Bibi kizee. Yaaaniiiii tumekwishaaaaa
    Reply
  15. Jamani ni ibuuuuuuuu cheti chake cha kuzaliwa ambacho ni kipya kinaonyesha kimetengenezwa mwezi uliopita. Yani ni aibu vibaya mno. Yani ukiona alivyohojiwa ndo mtavhanganyikiwa. Kwakweli hatuwezi kuwakilishwa na kituko Kama hiki.
    Reply
  16. Hata awe na miaka mia mradi ni mzuri na vigezo vingine anavyo basi haina kwere! Vizabzab mlivyoumbukaaa
    Reply
  17. kidoshobai mwana chakunimbiOctober 22, 2014 at 8:41 AM
    Huyu msichana sura yake imekaa on evil way..... Yani inatisha ata kuiangalia apo kwenye picha.
    Reply
  18. kidoshobai mwana chakunimbiOctober 22, 2014 at 8:42 AM
    Yani katoa fake fake birth certificate aliyotengenezwa last month,, siku chache kabla hajashinda taji
    Reply
  19. She looked old & evil.
    Reply
  20. Ila ki ukweli hii press conference sio siri Lundenga na Sitti mwenyewe wamejiaibisha sana tena sana, wewe unabanwa na maswali unajibu kwa jazba kiasi kile, yani majibu yake yamedhihirisha wazi kuwa Sitti ni muongo na amedanganya miaka, cheti chenyewe kimetoka last month, kweli Bongo kila kitu kinawezekana aisee, hata akija mama Kim K na kashepu kale aje agmbee umiss na aseme ana miaka 19 atapata tuu...
    Mrs Lundenga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!... ila ni aibu kubwa sana kwa Tanzania aisee
    Reply
  21. Lundenga na Sitti Lundenga Mtenvu wote wajinga, wasitufanye cc mafalaaa, alishakula pesa za mtenvu unazani atamvua taji mmmmfyuuuuuuuuuuuuuu pambavuuuuuuu,,,,,,,,,,,,,,,,
    Reply
  22. huyu mbaba anajidefine jinsi ambavyo anakili fupi.unajua unachokitetea ni upupu..lkn kwa kuwa ni mjinga hutumii akili uko radhi uendelee kutetea ujinga kwa gharama zote.Hata ikibid kuwaponza hao waliowatolea copy nyingine ya chet cha kuzaliwa .. (Rita), Immigration..hiz taasisi nyeti inaonyesha jinsi gan nchi imeoza .pesa yako tu unaweza kupata chochote. Ingekuwa nchi nyingine hiyo n scandal kwa government.. Maana sector nyeti kama Immigration kuforge passport n birth certificate kwa Rita..
    Huyu mmama hats simlaumu sana kama baba na mama wanadanganya kiasi hicho na mzee mzima Lundenga..sasa mtoto atakuwaje si balaa.
    Ila ujinga zaid we miss Ludenga umeharibu status yako in future..hasa utakapo taka kwenda kuishi au kufanya kazi ..tayari information zako ziko exposed sasa sijui utaforge na huko.
    Hapo ndo ujinga wenu ulipo.ulitaka fame ya muda hukuangalia effects za mbele.
    Reply
  23. haya ndo wameshasema havuliwi. we need to move on bana. leta hot topics tudiscuss hii ishapita kama ndoa ya vicky kamata na emmanuel mbasha kubaka.
    Reply
  24. Kwendeni zenu wewe Lundenga na huyo miss wako, huyo ni bibi hata ukikataa ona uso ulivyo mshupaaa apo juu utadhani jiwe la aghakani, eti hoooo kama mnasema amezaa leteni cheti cha mtoto, huyo mzee ni mjingaaaaa apumzike sasa, eti anasemaje mimi siyo kazi yangu kuchumnguza mtu akisha leta vielelezo ninavyotaka basi sina shida na mtu, kumbe cheti cha kuzaliwa walichokionyesha apo kimetengeneza juzi nancessss kabisaaaa, yaani nikwaona mtaani mtawapopoa na mawe
    Reply
  25. Huyo Lundenga ndo katuona washamba wa kupindukia sanaaa,cheti wamekitengeneza cha september alafu wanasema ndo original,aonyeshe passport yake basi kama kweli itakuwa na mwaka 1991,Jamani tumesoma na huyo siti she is born in 1989..
    Afu sura imemparama huyo Sitti Utomvu na anajibu mwaswali kwa kejeli hivi hawajui waandishi wa habari au watamvuruga kama makande mabichi.
    Reply
  26. Whaaaaat? yani wametuona siye mapoyoyo eee??? subiri tuforward mambo miss world ili wakajing'ate vizuri ye na lundenga wake,kusoma hujui basi hata PICHA waswahili wanasema MFICHA MOTO MOSHI HUMUUMBUA"
    Reply
  27. ::::::hii kitu nashindwa kuwaelewa watanzania. kuna viongozi kibao wana maskendo kuliko huyo miss. tena maskendo yanayoigarimu inchi. hiyo hamuoni mmeona miss tu pumbafu zenu. manina
    OOT::::::BONGO STAR SEARCH IMEISHIA WAPI?
    Reply
  28. Ila huyu demu ni mkavu aisee sijapata kuona. Hivi hao unaotaka kuwawakilisha hawakutaki, bado umo tu!! Makubwa haya mie toto la kisukuma. Halafu kweli bwana anaonekana kijeba kwa kumwangalia tu. Hivi angalieni jisura lako na wale wawili waliofatia!! wenzake wanaonekana visweet, vidogo bado. Lenyewe sasa sura mkomavu.
    Reply
  29. Uyu dada ni muongo daah et chet cha septemba haki ya mungu hii bongo mtu anaeza kufanya madudu wala asichkuliwe hatua et anajifanya kapoteza chet alafu taarifa ya polisi hakwenda nayo yan awa watu wanatia hasira mi ata nakosa la kusema
    Reply
  30. Huyu bibi ameng'ang'ania taji looh!! Kazi ipo mwakani nitamleta bibi yangu naye ashiriki ms tz,kikubwa ni chet cha kuzaliwa tu
    Reply

0 comments:

Post a Comment