Daah Ona jinsi Lundenga unavyoshusha hadhi ya mashindano haya, ona jinsi unavyoaibika na kutungiwa sms zinazosambaa mitandaoni yote hii ni kwasababu ya fitna iliyoendelea....kwakweli hii Miss haijawahi kutokea Tanzania, wa Tanzania wa sasa
sio wa zamani wa kuburuzwa buruzwa tuuuu, wanaelwa kila kitu, maneno mengi yameongelewa na Lundenga usijiaibishe katika kipindi hiki kigumu.... daaah inasikitisha but naamini mtalifanyia kazi
na kutujuza wa Tz maana ni mambo ya ajabu vitu vya ajabu, mara miaka 18, mara 23, mara 25 ilimradi kila mmoja anasema lake.
0 comments:
Post a Comment