Msanii
wa Hip Hop, Rshid Makwiro ‘Chidi Benzi’ akisindikizwa na askari Polisi
wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini
leo Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na dawa za
kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Msanii wa Hip Hop, Rshid Makwiro ‘Chidi Benzi’ akiingia Mahakamani leo.
Chidi Benzi akiwa chini ya ulinzi wa askari Polisi.
0 comments:
Post a Comment