Bila shaka wengi wenu mu wazima, napenda niwakumbushe kuwa upigaji kura kwenye Tuzo za Channel_0 Africa bado unaendelea na ni kura zenu pekee ndiyo zinaweza nifanya nishinde ushimdi ambao utazidi kuleta sifa njema kwa Taifa
kisha fata maelekezo na kunipigia kura kwenye categoriy zote 4 kama zilivyoorodheshwa hapo juu lakini wawezanipigia kwa njia rahisi zaidi ya ya kupitia smart phone yako, download app inaitwa WE CHATBOFYA KUSOMA ZAIDI>>>
0 comments:
Post a Comment