Friday, October 31, 2014

Aliekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (TBC) mzee BEN KIKO amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo
Katika Hospital ya Kitete Tabora.



0 comments:

Post a Comment