Friday, October 31, 2014



    "Ameamua kuingia in box kunitukana kisa sitaki msg zake in box.... Na ukifatilia status zake utamjua ni tu wa aina gani... Kifupi ana hasira hapati wanawake wazuri kwa sababu Hana hela ... Jamani kha! Upendwe bila hela una nini wewe ? Fanya Kazi utapata wanawake wazuri ... Vizuri garama kaka pole"

0 comments:

Post a Comment