Tuesday, October 21, 2014
TIGO YAZIDI KUWAPAGAWISHA WANANCHI WA DODOMA KWENYE TAMASHA LA WELCOME PACK.
Posted by Williammalecela.com on Tuesday, October 21, 2014
Wateja wakipata maelezo toka kwa watoa huduma wa kampuni ya Tigo ndani ya basi la Kidigitali lililokuwepo uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki, wakati wa ziara ya Tigo ya kampeni ya welcome pack mkoani humo.

Mratibu wa Masoko wa Tigo kanda ya Kaskazini na Kati Bw.Saitoti Naikara akiongea na umati uliojitokeza kwenye uzinduzi wa welcome pack uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.
Msanii Emmanuel Simwinga maarufu Izzo Business akipiga bonge la shoo kwenye Tamasha la Tigo Welcome Pack uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma. Kifurushi cha welcome pack kinatoa muda wa maongezi wa dakika 20, mb175, sms bila kikomo na shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo
Wasanii wa Original Komedi wakiwapa burudani wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa welcome pack kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki. Ziara ya Tigo welcome pack itaendelea mkoani arusha jumapili ya wiki hii.

Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment