Mambo ya ubunifu hayo sasa sijui utanunua sahani kwa ajili ya chakula
nyumbani au kwa tupambe ukuta?Au ungo kwa mimi ningetumia vile viungo
vidogo vidogo tena siku hizi unaweza kuzipaka rangi hizo nyungo ukawa na
rangi nzuri tu kulingana na namna nyumbani kwako palivyo au rangi
unazopenda na mpangilio wa furniture ulivyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment