Alilazimika kutazama TV hizo kwa umakini baada ya kuona shangwe walilopata WEUSIambapo mashabiki walikua wanaimba nyimbo zao kwa muda mrefu ambapo Davido kabla ya kuuliza alitumia muda mrefu kuwatazama kwa makini baada ya kushangazwa na shangwe walilokua wanapata WEUSI hawa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment