LEMUTUZ

Wednesday, November 26, 2014

BAADA YA BIFU LA MDA MREFU DIAMOND PLATNUMZ ATOA OFFER YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF

Posted by Williammalecela.com on Wednesday, November 26, 2014
Mwaka 2012 kuliiuka na beef kati ya q chillah na diamond platnumz, na ilikua inaonekana kuwa Chillah ndiye mwenye tatizo na diamond kwa sababu kabla Diamond alikua anamtaja chilla kama moja kati ya wasanii waliomu inspire kuingia ndani ya
game ya bongo flava, lakini baadae Q chief akaanza kumtuhumu diamond kuwa anampiga mitishamba na kuchukua nyota yake
Inataka kujua beef hiyo imeisha vipi? >>
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT