LEMUTUZ

Wednesday, November 26, 2014

BREAKING NEWZ: MJADALA WA ESCROW HALI TETE, BUNGE LAAIRISHWA MAKA JIONI

Posted by Williammalecela.com on Wednesday, November 26, 2014
Mjadala wa Rioti ya CAG Kuhusu Akaunti ya Escrow hali tete Bungeni Mjini Dodoma.Wabunge wote washinikiza Mjadala huo Kusomwa lakini Mwenyekiti wa Bunhe Mbunge wa Ilala Mh Zungu ameahirisha Bunge mpaka saa kumi na moja jioni.
Utata ulianza mara ya kiindi cha maswali na majibu kilioisha ndio wabunge wengi kutoka vyama mbalimbali vinavyounda Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania waliposimama kuomba Muongozo.>

Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT