Monday, November 3, 2014

Mwenyekiti wa bodi pamoja na Kaimu Mkurugenzi waTPDC wamekamatwa na jeshi la polisi kwa maelekezo ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali na mashirika ya umma kwa kushindwa kutekeleza maagizo ya kamati hiyo... chanzo,
RADIO1 STEREO!

0 comments:

Post a Comment