Thursday, November 13, 2014


BREAKING NEWZZZ KUTOKA DODOMA,SAA 12 JIONI YA LEO MACHO NA MASIKIO YOTE KUELEKEZWA BUNGENI DODOMA.



CHUKUA NAFASI HIII KUUTAARIFU UMMA WA WATANZANIA KUWA MTOTO WA MFUGAJI NA SOKOINE WA PILI ANACHANGIA SAA 12 NDANI YA UKUMBI WA BUNGE.
 

Ni katika hoja ya sheria ya utawala wa Kodi.
Leo Naibu waziri wa Fedha ndg Mwigulu Nchemba ataongea bungen kuhusu sheria ya utawala wa kodi. Mwigulu amekuwa akipambana kufa na kupona kuhakikisha kodi inalipwa. Mwigulu ambaye agenda yake ya urais inalenga TAIFA kujitegemea kimapato ili kuwapa huduma watanzania masikini, ameonesha kwa vitendo kuwa ana dhamira ya dhati ya kuongeza makusanyo ili seikali itekeleze niradi ya maendeleo.
Mwigulu amekamata wakwepa kodi na sasa ametimiza ahadi yake kwa kufuta misamaha na sasa sheria imeletwa kuondoa kasoro za kisheria.
LICHA YA REKODI YA KIPEE KABISA yakuwa Waziri wa Kwanza Kupambana na Wakwepa kodi na Matumizi mabaya ya pesa za Umma,Mwigulu Nchemba pia ndiye Kiongozi pekee akiyeamua kusimamia Maslahi ya wanyonge na Masikini kwa nguvu zote.
HIVYO Watanzania hatuna sababu ya Kuacha Kumuunga mkono Mbunge huyu na Waziri huyu wa Taifa hili.
Songela Mwigulu Nchemba,GO GO GO GO GO

Tukutane saa 12 hii leo Tar.13.11.2014 kwenye TBC1 BUNGENI LIVE.

0 comments:

Post a Comment