"Jackline Masanja
Aliishi na Virus vya ukimwi ni zaidi ya Miaka 10 sasa toka Ajitangaze kupitia kipindi cha njia panda cha clouds fm. Na kupewa jina la Jack wa njia Panda.
Kaipigania Afya yake na uhai wake kwa Miaka yote hiyo Mwishowe Wanadamu wamemuua Kikatili.
R.I.P Jacklin Masanja."


0 comments:
Post a Comment