Wednesday, November 26, 2014

Askofu Kilaini

Waziri wa Ardhi Mh. Tibaijuka

@LE MUTUZ LIVE STRAIGH TALK!!;- Habari za leo bungeni kwamba hawa wawili wanahusika na kuchotewa pesa chafu za Escrow ni za huzuni sana kwa hawa wawili, sikutegemea hata siku moja kwamba hawa wanaweza kuwemo kwenye kashfa nzito ya Taifa kama Escrow.
Now what nani wa kumuamini kwenye hili Taifa? Wote wajitoe mara moja kwenye uongozi hawafai sio waaminifu I mean ni wezi kama wengine tu. Leo nilipishana na gari la Magereza limebeba wafungwa nikajiuliza hivi hawa masikini wa Mungu wamekosa nini hasa wakati Wezi wenyewe wapo na tunawajua ndio kwanza wanatanua na mavyeo makubwa makubwa ya Taifa kumbe ni Wezi tu kama wezi wa kuku na mbuzi, and yes I said it hawa ni wezi kama wezi wengine wote wa kawaida CCM hatuwezi kuruhusu mambo kama haya kuelekea uchaguzi waliohusika wote wachukuliwe hatua mara moja U know!! Shame on you two, Mama Tibaijuka nimeishi naye USA siku moja akaja kutembelea Chuo changu kwa heshima kubwa kumbe na mimi nilikuwa ninamuamini kumbe ni wale wale kweli hamna wa kumuamini hili Taifa!!

Le Mutuz

0 comments:

Post a Comment