Akipiga stori na mwandishi wetu, Kajala alisema anasaka mimba kwa namna yoyote ili mwanaye Paula apate mdogo wake hivyo suala hilo lipo katika mchakato yakinifu na mpenzi wake wa sasa ambaye
hakupenda kumwanika jina lake.
MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha.

0 comments:
Post a Comment