Kila kona ya jiji hilo, anazungumzwa mtoto huyo kwa hali ya mshangao. Malaika huyo wa Mungu hajapewa jina lakini mama yake anaitwa Naishooki Logolie, 23, mkazi wa Kijiji cha Injok, Wilaya ya Arumeru, Arusha. Kutokana na habari ya mtoto huyo kupata umaarufu mkubwa, huku wengi wakitaka kumjua zaidi, Uwazi lilimsaka mtoto huyo na kubaini maajabu mengine kwamba mbali na sehemu hizo za siri pia ana miguu mgongoni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment