Sunday, November 9, 2014

.
Miss Tanzania 2013 ambaye pia ni Miss Dodoma Happiness Watimanywa (20) usiku wa Nov 8 aliandaliwa hafla ya kuagwa katika hoteli ya Kilimanjaro Dar es Salaam Club Rouge  .
Happiness Watimanywa anatarajia kusafiri Jumamosi ijayo kuelekea Uingereza kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang’anyiro cha kumsaka Miss World 2014 Desemba 14.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

0 comments:

Post a Comment