Sunday, November 2, 2014
KESI YA MISS TANZANIA BADO HALI TETE
Posted by Williammalecela.com on Sunday, November 02, 2014
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemruhusu Prashant Patel kubadilisha hati ya madai katika kesi aliyoifungua dhidi ya mshirika wake, Hashim Lundenga.
Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Frank Moshi, amemruhusu Patel kupitia wakili wake Benjamin Mwakagamba wa kampuni ya Uwakili ya BM, baada ya kuiomba mahakama hiyo kufanya hivyo ili aweze kuingiza
gharama ambazo zilijitokeza baada ya kufanyika kwa shindano la Miss Tanzania, Oktoba 11, 2014.
Hata hivyo Hakimu Moshi alimtaka Patel kufanya mabadiliko ya hati hiyo ya madai dhidi ya Lundenga na kuiwasilisha mahakamani hapo kabla ya jana Jumatano.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment