MSANII wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ amefunguka kuwa tangu ameanza kujihusisha na mambo ya sanaa hajawahi kuwa na bwana ndani ya klabu ya Bongo Movies na wala hajawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’ kama ilivyo kwa wengine.Msanii wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni,
“Sina bwana wala sijawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’ na sifikirii kufanya hivyo kamwe, maana ni kujishushia heshima yangu wakati mimi ni mke wa mtu na wala siwezi kunadi mwili wangu,” alisema Sandra.
0 comments:
Post a Comment