Friday, December 12, 2014

Ingia humu kufata maelezo ya kumpigia kura…..
http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/CastYourVote/Mpaka sasa hivi kaingia top 10… Uwiii yani  anaweza kuwa miss Tanzania wa kwanza kabisa ambae hakuwa discovered na Mange Kimambi kuingia top 10 ya miss world, hihihihihihihihi.Nani kakuna??????
Okay habari za chini chini zinasema huyu binti hakupata any financial support
from Miss Tanzania committe katika maandilizi yake ya kwenda Miss World, habari zinadai kuwa binti kajinunulia kila kitu mwenyewe from mavazi mpaka ticket ya ndege kwenda miss world, eti kama asingejinunulia ticket ya ndege ni kwamba asingekwenda hata huko Miss World… Duh hali imekuwa tete Miss Tz.Like i said habari hazijadhibitishwa…BOFYA KUONA MANGE AKIMCHANA LUNDENGA LIVE>>>

0 comments:

Post a Comment