Tuesday, December 30, 2014

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Kinana amesema kuwa kikao cha kamati kuu kinachoundwa na wajumbe 14 (7 kutoka kila upande wa muungano) kimeitishwa kujadili hatima ya mmoja wa wajumbe wa kikao hicho Prof Anna Tibaijuka.Kikao hicho kitaamua hatma yake ikiwemo ama kubakizwa katika kamati hiyo,kufukuzwa au kunyanganywa kadi na kufukuzwa kabisa katika chama kutokana na sakata la Escrow ambapo yeye alipata mgao kutoka kwa mmoja wa wabia wa kampuni ya ITPL James Rugemalira
Hapa chini Tunakuletea majina na picha za wajumbe wanaokutana gafla kumjadili Prof Tibaijuka MAJINA YA WAJUMBE WENGINE 13 NI KAMA IFUATAVYO

ENDELEA KUSOMA KWA KUBONYEZA 'Read More' HAPO CHINI

0 comments:

Post a Comment