Monday, December 22, 2014

unnamedWaziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwasili viwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku mbili (Disemba 20-21) wa wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina, mkutano huo unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina Eligius Mwankenja.
unnamed1Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa siku mbili mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) wa wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina, mkutano huo unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”.
unnamed4Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina Eligius Mwankenja akitoa neno wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es salaam.

unnamed5
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum wakati wa kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es salaam.
unnamed6
Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es salaam.
unnamed8
Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofaviwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki (Disemba 20-21) jijini Dar es salaam.
unnamed10

0 comments:

Post a Comment