Monday, December 22, 2014

Chairman Juma Pinto leo ni siku yake ya kuzaliwa, the icon of Diasporaz kwamba baada ya kukaa sana majuu kurudi nyumbani Bongo sio dhambi wala death sentence kama wengi walioko majuu wanavyoamini alikwenda Majuu kama wengine wote kuhangaika kutafuta maisha akaamua kurudi na maisha sio tu yanaendelea ila yamebadilika sio kama aliyokuwa nayo kabla ya kwenda majuu that is the whole point. Leo ni Mmiliki wa kampuni ya Jambo Concepts Inc. inayomiliki gazeti la Jambo Leo, Electronics Billsboards na City Sports Lounge, Ni Rais wa TASWA Chama cha Waandishi wa Michezo Tanzania na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Ngorongoro Mbuga ya Wanyama. Uende Majuu ujifunze mambo ya wazungu uje bongo uonyeshe mabadiliko and he did exactly just that. Leo ni siku yake ya kuzaliwa a great man with great mind and special heart ya kusaidia wengine I salute you bro! MUNGU AKUONGEZEE MAISHA MAREFU LE CHAIRMAN!! - Le Mutuz

Chairman Juma Pinto with Nelson Azumah Bingwa wa Ngumi wa zamani wa Dunia live at Accra Ghana.

Chairman Juma Pinto akiwa na Rais Kaunda wa Zambia Ikulu ya Lusaka kama anavyosema mwenyewe Mwaka 1967 live!!



Chairman with Mbunge wa Chalinze CCM Mh. Ridhiwani


Waziri Mkuu Mh. Pinda + Le Big Show + Chairman Juma Pinto live at Bunge Dodoma.

Chairman Juma Pinto with the Rais wa Zanzibar Dr. Shein.

0 comments:

Post a Comment