Posted by Williammalecela.com on Monday, December 22, 2014
 |
| Pamoja na propaganda nyingi za UKAWA kumchafua Mbunge huyu wa CCM Ngeleja kwenye kampeni za uchaguzi wa Mitaa, Mbunge huyo na CCM walifanikiwa kuwashinda UKAWA kwa kuwapiga kwa CCM 82%, UKAWA 18% aibu kubwa sana kwa UKAWA. |
0 comments:
Post a Comment