Posted by Williammalecela.com on Monday, December 22, 2014
 |
| Ok my people kwa muda mrefu sasa hiiv kazi ya Blogu nilikuwa nimewaachia wafanyakazi kutokana na kutingwa sana na shughuli, in the process nimepata malalamiko mengi sana kwamba sionekani humu ok now napenda kuwafahamisha wasomaji wa this blogu kwamba I am back kwa sababu hatimaye nimehamia kwenye my Apartment hapa downtown Bongo Jamhuri street na kutengeneza Ofisi maalum ndani yake special just for this blog so hii itanipa access all the times nikiwa home as opposed na kwenda kufanyia Ofisini, so now maana yake ni kwamba ni lazima nirudi nyumbani so nitakuwa na muda wa kuingia hapa na kufanya what I know best Bloggging! hahahahahahaha and U know I love this na stay tuned, wananchi wengi wamenilalamikia kwamba wame miss sana le wabebezzz wakareezzzz U know so stay tuned!! - Le Mutuz |
0 comments:
Post a Comment