Thursday, December 11, 2014

Kijana mmoja nchini zimbabwe katika kijiji cha pote amekimbia kijiji hicho baada ya kujikuta katika matatizo makubwa kufuatia kumtia mimba mama yake mzazi kwa mara ya pili.Ikumbukwe hapo nyuma kijana huyo aliwahi kutenda kitendo hicho ambapo wana kijiji walimsihi kutorudia tena kitendo hicho baada ya kijana huyo kumshawishi mama yake na kuitoa mimba hiyo.Simon Matsvara na mama yake Ethel Vhangare aliamua kuondoka baada ya waumini wa kanisa lao kugundua kuwa mimba hiyo ni batili.Miaka minne iliyopita, wawili
hao waliripotiwa na kutozwa faini na viongozi wa kijiji kwa kosa la kutoa mimba.Chifu wa kijiji, Chinamhora alisema kuwa jamii ilikasirishwa na kitendo hicho na kwamba yeye aliamua kuwatuma wafanyakazi wake kuwatafuta wawili hao waliokuwa wameamua kuishi kama SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment