Edward Kichantapumzika
kwaamani Glory my dada rafiki kipenzi wa my cc* daima tutakukumbuka
kwani inatia huzuni sana tunaomba M/MUNGU akupokee kwaamani.
Winston MoshaKaka
nilitumiwa hii picha kwa whatsapp sikuamini ni Tz. Nikaona uzushi
lakini nakaiona tena na tena kwa kweli machozi yamenitoka kwa nini
tunakuwa wa tumwa wa fedha?
Erick Billy MghambaTena unapoteza maisha ya mtu kwa 2.5mil kwelii.....inatia hasira na uchungu sana ...Mungu amtie nguvu kaka kwa kupoteza wife. RIP Glory!!
Eric MakobaR.i.p
inauma sana huu wizi wa kutumia pkpk aina ya boxer imekua tishio..juzi
walimpiga risasi rafiki yangu Mr Tumain wakampola tsh m 6 hapo mlimani
city...yuko icu..Jeshi la police vp kazi yenu ya kulinda Raia na mali
zao.
Patrick SalumInasikitisha
sana , Mungu amrehemu sana na kuiweka roho yake mahali pema. Pili
amjalie mumewe ujasiri mkubwa kwa kuondokewa na mke wake mpnz. AMEN
Jimmy W. TeriPoleni
na MUNGU awatie nguvu kipindi hiki kigumu, pia iwe ni mandalizi
mwenzetu katangulia sie twafuatia maandiko yanasema kila roho itaonja
umauti nasi tumsogelee MUNGU na kujiweka kwake tayari, R.i.p dadayetu
Glory
0 comments:
Post a Comment