Wednesday, December 24, 2014

Ukweli ni kwamba huyu Marehemu Neema amefariki Dunia kutokana na kunywa pombe nyingi na baadaye akaomba madawa ya kulevya aina ya Cocaine akavuta kwa mara ya kwanza katika maisha yake, walikuwa kwenye gari na wenziwe na akiwemo Boyfriend wake akaanza kuumwa ghafla kwenye gari,
waliokuwemo kwenye gari wakaamua kumpeleka Hospitali ya Mwananyamala ambako Hospitali iliwakatalia kumtibu bila karatasi ya Polisi, wakaamua kuelekea Polisi kabla hawajaondoka wakagundua kwamba tayari alishafariki. Huu ndio ukweli wa habari ya kifo cha kusikitisha cha huyu binti na ni matumaini yetu this blog kwamba wahusika watabeba uwajibikaji tokea hapa habari inapoishia. - Blogu ya Wananchi

0 comments:

Post a Comment